Uzuri wa bustani ni wingi wa maua
ni msanii wa nini....?Naona kama suzie wa Enews kachora tatoo kwapani au ni nini hicho? View attachment 995671
Sent using Jamii Forums mobile app
vile vipensi vya jinsi tumevalia sana primaryMbona kama ukimuangalia vizur amevaa bukta kubwa inayomuongezea choo [emoji849][emoji849][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa io unalazimisha amchukie kisa tu hizo nywele kwapani? wabongo bana
Mikumi na serengeti wakasome ! [emoji53]Kwapa kama la mamba je huko matopeni kukoje!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zile zinaitwa bakora proof.vile vipensi vya jinsi tumevalia sana primary