Tattoo zinamaanisha kumilikiwa na mtu au kitu fulani

Tattoo zinamaanisha kumilikiwa na mtu au kitu fulani

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Tattoo sijui maana yake nzuri kwa Kiswahili ila ni michoro/picha mbalimbali zinazochorwa kwenye mwili wa binadamu kwa malengo mbalimbali wako wenye wamechora tattoo za Simba, Nyoka, Msalaba,wapenzi wao...nk

Tattoo kwa kifupi inamaanisha i Belong to/mimi ni mali ya mtu fulani au kitu flani au ninamilikiwa na...

Ukichora tattoo ya mpenzi wako utamaanisha wewe unamilikiwa na mtu flani, ukichora tattoo ya Simba utaamaanisha wewe unamilikiwa na Simba.

Kuna wale wanapigwa chale na waganga au kuchorwa hiyo itamaanisha unamilikiwa na mganga au wewe ni mali ya mganga.

Assume umechora tattoo ya msalaba hapa kuna maana nyingi kuna msalaba kweli ule wa Yesu hapa utamaanisha wewe ni mali ya msalaba lakini uwe tiyari kusuffer kama maana ya msalaba inavyomaanisha.

Pia dini nyingi zipo kinyume na tamaduni za kuchora tattoo so uamuzi ni wako.
 
Back
Top Bottom