Tattoo..

...na huyu nae 'kapendeza' kweli!

 
katika makabila ya Tanzania, warangi na wanyaturu, wambulu, wamakonde wa Mtwara, wamatumbi, wote hao nishawaona na alama za 'urembo' kwenye miili yao.​

ndio maana nikauliza, Utajali kama mkeo ana 'tattoo' au chale, (ambazo pia zina ujumbe maalum) ?! 🙂
 


sisi wanyalu tulikuwa tunapigwa chale zamani hizo na haitoki inakaa maisha...so sioni uhuni wowote wa kuwa na tattos!....I love my tattos as long as zina meaning....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…