Tattoos, zinataka kuvunja ndoa msaada jamani

Jamaa kashatapeliwa. Wakafute tuu waendelee na maisha.
 

Mkuu, tatizo akiona mapaja ya wife tu, mzimu wa Kevin, unamtafuna...lol!....inasumbua kichwa sana hiyo
 
Ni utoto, ayaache yalivyo kadri siku zinavyokwenda yatafutika kutoka vichwani mwao wote. Othewise hata wakifuta wataendelea kuwa na jinamizi la mmoja kumkumbuka Kevin mwingine kwa nini alichora tatoo na kuandika kevin.

Wamuombe Mungu maisha yaende if they are in reaal love. Wanawake na maendeleo. Namshukuru Mungu kwa kuwa mshamba, na ushamba wangu uendelee!
 

Caroline Danzi,
wala sio utoto ujue mapenzi some time yanakufanya akili inahama.
Wewe sio mshamba bana, kwa mfano Chatu..akikuletea zawadi za G-strings, utavaa?
 
....mpe pole,kevin ndio mimi na huyo alikuwa wangu!!asihofu,yalishapita na siwezi mpitia tena kwani niko mbali,kweli alinipenda sana
Yours
Kevin
Dakar
Senegal
 

Hapa ndo unapo kuja kuona umuhimu wa shake before use
 
duh! hii kali sasa ..........apole sana mana bila kufutwa itamuuma kila siku na huyu mwanamke atakua anamkumbuka kevin wake kila siku loh! bala buluu yani...............ila zinafutwa izo kwa mashine kama zile za kuchorea
 
Hilo jana jike sio aminifu from the first place......ina maana lilikuwa na uhusiano na huyo Kevin,na hata kama huyo Kevin ni fictitious huyo mwanamke inaonekana ana upeo finyu sana wa kutoangalia mbele ingekuwaje kuhusu hiyo tatoo

 
simpo,

Mwambie kijana ajiite a.k.a kelvin
 
kwani alimuambia hajawahi kupenda ama hajawahi kushiriki tendo la ndoa? aliwahi kumpenda huyo kelvin, innocently akaji-tattoo jinale then akagundua kimeo. washirikiane kuondoa ghost ya kelvin huku wakiendelea kupendana nadhani.

Good. cause unaweza kudhania tu hapa King'asti!
 
Hapa ndo unapo kuja kuona umuhimu wa shake before use

Umeona eeh....yaani mwanamke anayekupa masharti yote hayo, awe na uhakika siku ya ndoa unamkuta bikra...short of that anatafuta revenge tu hata baada ya ndoa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…