Tattoos, zinataka kuvunja ndoa msaada jamani

hilo jina la kevin ni la huyo muoaji au ni jina la mwanaume mwingine?
kama ni jina la mwanaume mwingine,huyo mume mtu imekula kwake
 
Umeona eeh....yaani mwanamke anayekupa masharti yote hayo, awe na uhakika siku ya ndoa unamkuta bikra...short of that anatafuta revenge tu hata baada ya ndoa....

Ndo hapo unasubiriiiiiiiii weeeeeeee mwisho wa siku anakupa uzindua unakuta kumbe anakikojoleo cha kiume sijui utafanyaje.
 
:A S embarassed:
huu ndio ubaya wa kufanya tendo la ndoa wakati tayari harusi imefanyika.
ina maana yule dada hakuwa bikira.
alimhadaa tu!!!!
 
@ Nyani Ngabu.... naomba urudishe mbavu zangu lol. ...... tearing that thing like there was no 2mrw..
 
Hivi kuna watu bado wanauziwa mbuzi kwenye gunia mpaka leo????

Mpe pole ila kama hapendi atafute njia ya kuiondoa

Dena tangu ziingie sinema za hollywood pamoja na kwamba ni maigizo ya kujipatia fedha bado vijana wengi wanafikiri yale ni maisha ya kweli na kujikuta kuiga uozo mwingi zikiwemo hizo tattoo.

Kama preference ya huyu mwanaume haikuwa tattoo na ni mwadilifu kama mimi nisiyependa artificial behaviour basi ajue ita mtesa sana kaka wa watu na mbaya zaidi iko pale pale karibu na main gate ya ndoa yao. Kama hiyo tattoo haifutiki basi ni vema ku- call off kwa sababu huyo binti ni dhahiri siyo mwaminifu kwani kuwa na jina la B/F wako kwenye paja wakati una mchumba bila kumwambia ni kukosa uaminifu na ni ngumu huyo mume kumwamini huyo dada.
 
Ndo hapo unasubiriiiiiiiii weeeeeeee mwisho wa siku anakupa uzindua unakuta kumbe anakikojoleo cha kiume sijui utafanyaje.


Jamani ndo maana watu wanaonjana kwanza japo hairuhusiwi.............
isitoshe huyo alishajua makosa yake ndomana alikuwa anakuzungusha zungusha panapo utamu, alijua utaona tu,
POLEEEEEEEEEEEEEEEEE MWAYA,ndo maisha.
 
hilo jina la kevin ni la huyo muoaji au ni jina la mwanaume mwingine?
kama ni jina la mwanaume mwingine,huyo mume mtu imekula kwake

Mkuu, jina sio la mume wake ni jina la Kevin aliliandika siku nyingi
 
me no comment hapa,...ila ningekua mm nimeona nimetapeliwa na hiyo bikra,halafu nakuta vitu vya kuumiza roho halaf havifutiki kirahisi..dawa ni kusepa kivyangu hata kama arusi nilifunga jana mbele ya papa......kuishi na kitu kinachokuumiza wengine hatuwezi kuvumilia...ni hayo tu waaheshimiwa
 
lakini gharama kweli kuifuta. ok inawezekana lakini lazima mfuko uwe umejaa kiasi. hili limekua tatizo manake nimeshuhudia kisa kingine kama hicho hadi msichana anakuja kuomba ushauri hospitali. hata kama ni mimi lisichana limechora tatuu na ndoa nimefunga mchana, usiku huo anarudi kwao. what is the significance of having totoos all over your body? aisee kama ni mimi nimedanganyika hivo muda huo wote halafu leo naona mazingaumbwe haki Mangu namzaba mbarati za kutosha kabla ya mengine kufuata
 
ingekuwa mm na annul hiyo ndoa fasta. ni sawa na kuoa kimeo
kosa lake kubwa ni kuficha tatoo hiyo atakuwa kamficha mengi pia
yaoenakana hatakuwa mwaminifu, huyo binti angekuwa anampenda
kwa dhati huyo bwana asingethubutu kuolewa bila kuifuta
huyo ni mwongo na atakuwa kwake muongo daima.
hata akitoa hiyo tatoo wont help jamaa ajue yeye kwake ni second hand.
 
Kama vipi anaweza pia kucover hilo eneo la tattoo kwa vipodozi vya kufunika tattoo au makovu ambayo yameshindikana au bado hayajatolewa mwilini ambavyo ni maalum kwa kazi hiyo na havitoki kwenye mvua kama Igia au Dermablend-Leg and Body Cover Creme ambayo inatumiwa na macelebrity Duniani kucover tattoos zao sometimes, achague tu cha rangi ya ngozi yake, unachagua rangi kama unavyofanya kwenye angel face, njia hii haina pain na wala mtu hatojua kama una tattoo ukijipaka.
 
Ndoa za siku hizi...hatari huyo binti ukute yalishamkuta hayo akipata mwanaume akiiona ile tatoo anasepa harudi tena....na amehangaika sana kuifuta amechemsha ndio maana kinga yake hataki kuonwa hadi aolewe!!
 
mmh! pole mkuu inabidi uanze kuitwa kelvin sasa au ni jina la mpenz wake wazamani?
 
mmh! pole mkuu inabidi uanze kuitwa kelvin &nbsp;sasa au ni jina la mpenz wake wazamani?<br><br>
 
Mwambie aje niifute tatizo dogo sana hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…