nyotanjema
Senior Member
- Sep 24, 2011
- 137
- 35
Mimi uwa nawashangaa wale wanawake wanaojichora tattoos, kwenye maziwa wanasahau kuwa kuna siku watanyonyesha au maziwa kutepeta.
Sijui tottoo zitakuwa kwenye hari gani
Si wote wanaonyonyesha maziwa yanatepeta.
Again hata yakitepeta tatizo liko wapi?
Ujana ni ujana hamna atakaye baki hivyo alivyo whether ana tattoo au hana; lakini bado vijana have to make maximum use of time they have kwani umri ukienda basi..