Hz pigo zinapatikana Kf pekee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mara ya kwanza umenichekesha kwa siku ya leo.
Asante.
Hakika mkuu,ndio maana nikiwa na stress zangu huwa naingia JF.Hz pigo zinapatikana Kf pekee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na hii je?Hakika mkuu,ndio maana nikiwa na stress zangu huwa naingia JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hii je?View attachment 376569
Huyo huyo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inamhusu mtu fulani humu.
Amebakia kuwa fashion show tuMshabiki wa Messi anaechangia hii thread inabid awe na roho ya kipekee au ajitoe ufahamu kama wengi walivyofanya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] . kweli mwaka huu siwake.Amebakia kuwa fashion show tu View attachment 376651
Ameenda fainali kubwa mbiliKwa kipi alichovuna msimu wa 2015/16
Messi ni wa America na sio ulaya acheni ushabiki wa kijinga
Hahahahaha hivi kama huelewi kwanini usikae kimya tu maana unajitangaza ulivyo mtupu[emoji85] [emoji85]Messi ni wa America na sio ulaya acheni ushabiki wa kijinga
Kweli nimeamini vila.za wangekuwa wanapaa kama ndege, JF ingekuwa busy kama airport.
Kwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?
Messi ni wa America na sio ulaya acheni ushabiki wa kijinga