Tatu bora mchezaji bora Europe, Messi aachwa. Mshindi kutangazwa Agosti 25

Uefa safar hii wameboronga yani no aibu ya Karne Kiufup wamekuwa wasengerema

Aisee upo? Achana na UEFA hawa, sijui hawakumona Messi kapendeza nywele zake. Kwenye Award Celemony angetia fora.
 
Reactions: PNC
Aisee upo? Achana na UEFA hawa, sijui hawakumona Messi kapendeza nywele zake. Kwenye Award Celemony angetia fora.
Nipo mkuu tunasuka kikos ili tumchakaze Los Blancos

Messi angetia fora kwenye red carpet[emoji1] [emoji1]
 
Nipo mkuu tunasuka kikos ili tumchakaze Los Blancos

Messi angetia fora kwenye red carpet[emoji1] [emoji1]

La Liga mwaka huu itapendeza sana. Hata hivyo ni bado vigumu kuitabiri mpaka game zianze. Umesikia Sevilla? Wameamua kubadilisha nusu kikosi, Jana wamesainisha jembe la 10 na usajili unaendelea. Valencia nao wanatisha wamewaleta kina Luis Nani. Villarreal wana wachezaji vijana wengi. Diego Simeone kafanya usajili wa maana sana, Gameiro yuko pale sasa. Mwaka huu jiandae kupigwa Camp Nou game kama 5 hivi.
 
Messi ni mchezaji bora wa Dunia na ulimwengu mzima sio tu ulaya jueni hilo na yeye ndo anaye fanya watu wapende Mpira na sio kama hao wengine wanaofanya watu waipende Madrid tuuiu. Sisi tunapenda soka

Nahisi umri wako umekusukuma kuandika huu utumbo,watu tunashabikia soka hata kabla Messi hajatoka kwenye tupu ya baba ake ili manii ziungane na yai la mama ake.
 
Nahisi umri wako umekusukuma kuandika huu utumbo,watu tunashabikia soka hata kabla Messi hajatoka kwenye tupu ya baba ake ili manii ziungane na yai la mama ake.
Hahahah so by then mlikuwa wangapi?
 
Mkuu umeandika wakati unakata gogo nini? Mchezaji bora wa uefa sio lazima awe anatoka barani ulaya
Ni wachezaji wote wanaocheza ligi za ulaya ndo maana msimu uliopita Messi alishinda tuzo hiyo
Hahahaaaaaaa hilo gogo duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…