ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
😂😂Tatu mwalongo kakukosea nn mkuu daah hapumii KILA uziKumanisha Giant uchwara! View attachment 2786400
Mkuu hatuteseki mbona..😅Week hii ni wiki ya Mateso makali mno Kwa WANANCHI.
WANANCHI tunateseka mno
Ana mbaleko ya hao mbumbumbu[emoji23][emoji23]Tatu mwalongo kakukosea nn mkuu daah hapumii KILA uzi
Ashinde njaa labdaNina wasiwasi Simba ikishinda kuna watu watajinyonga.
Tunawekaje mkeka?Kumanisha Giant uchwara! View attachment 2786400
Unateseka hadi huruma.Ashinde njaa labda
Nani aongelee taka taka hizo? 🤣Hakuna anayezungumzia mechi ya yanga na azam 😂
[emoji23][emoji23]huu ni uongoTimu itakayocheza na Al Ahly ikipewa odds 3 inamaana hapo ni 50\50 au Ahly kuna nafasi kubwa ya kufungwa.
ngoja uone kesho mbungi la Simba.[emoji23][emoji23]huu ni uongo
Jumamosi asubuhi tu itaanza kuzungumziwaHakuna anayezungumzia mechi ya yanga na azam 😂