nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Habari ya mchana, Jana usiku na mimi nilikuwa ni miungoni mwa waliokuwa wanatazama Droo ya pili ya Tatu Mzuka kupitia TV 1.
Tofauti na Droo ya kwanza ambayo baada mshindi wa jumla kupatikana walionesha zawadi zilizobaki ikiwemo Milioni 30, lakini kwasiku ya jana hawakuonesha hiyo Milioni 60 kama angebashiri namba angestahili kujishindia, pamoja na mapungufu mengine walitakiwa waoneshe.
Halafu, baada ya mshindi kupatikana ilitakiwa muongoza kipindi aseme sasa tumpigie mshindi, lakini kilichonishangaza ni kumsikia mshindi akiongea bila kupigiwa simu kama walivyopigiwa wa mwanzo, ki ukweli kuna kasoro na wasiporekebisha ina ondoa thamani kujuwa kama walikuwa Mubashara.