Tatu mzuka nimewakubali

Tatu mzuka nimewakubali

BETTY MSIGWA

Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
43
Reaction score
36
Wana jukwaa jana niliamka nikiwa na Buku Jelo mfukoni, mara nyingi huwa na BET M-BET, Jana nikaamua nibadili mboga kwa kutumia Buku jelo (1500) yangu, niliuliza namna ya kubet TATUMZUKA nikaelekezwa, nikabet wakala, nikabeti tena wakala, hahahahahahaha nikasema hawa jamaa sio watu wema nikasema nabet wamalizie hii maana hata ikibaki jelo sina cha kutumia, nikaweka tarehe ya kuzaliwa , mwezi na namba ya mwishoni ya mwaka wangu wa kuzaliwa yaani 679....

Hahaha ndani ya dakika 547 tangu nibet.... nikapata ujumbe hongera namba zako tatu 679 zimefanana na namba ya bahati. nililamba 82090...baada ya kukatwa kodi.... Nikasema asante Tatu Mzuka, ila sasa tangu jana hadi sasa kila nikiweka wamelamba nataka nikae likizo mpaka ziishe ibaki buku jelo ntawakumbuka tena maana wanaweza rudisha zote.
 
Kama bahati yenyewe ni namba za birthday ya mtu means kupata mshindi ni 0.000000000001% ambapo kwa story yako either umeipika ili kuwadaka mbuzi wengi wa kafara wanaopenda vitonga na kusererekea kuti au kama umepata basi bahati ilikua kwako na ni veeeeeeery rare kushinda.... That's why sijawahi hata kujua namna ya kucheza hiyo michezo maana naona ni wastage of time, money and laziness...
All in all hongera
 
Porojo!wataka n wenzako waliwe ela zao kama ww?
 
siwezi danganya ningekuwa sijafuta meseji ningeweka hapa, hawa sio matapeli ila jambo muhimu kwako kupata zile namba zilingane.
Hii nikweli mimi niliweka 1000 nikapatia namba 3 nikapewa 164,180 baada ya kodi

Tiketi yako LOEAZG ya TatuMzuka droo, 1944 imelinganisha namba 3! Umeshinda Tzs.164180! kodi 18%.imeshatolewa Namba za ushindi ni 483.tatumzuka ni simpo tu!
 
Uzur wake dk chache tu mpunga unaingia kwenye account yako
 
Back
Top Bottom