Tatu mzuka

king vana

Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
91
Reaction score
49
Jamani eeeh!!!! Jana kwenye droo ya sa 3 usiku nimeliwa pesa yangu nyingi saanaaaaaa..... Wakasema wanshughulikia mpaka sasahivi hamna kushughulikia na wamekaa kimya wakati watu tuliweka pesa zetu pale jamani.......

Serikali hii itusaidie na utapeli wa jana.... Japo nilivyoshinda droo iliofata walinipa pesa yangu.... Lakin droo namba 2524 haipo na watu tukibashiri... Jamani eeeh tunataka mwache utapeli mturudishie pesa zatuuu
 
Anza kubet mkuu achana na hizo droo za kitoto
Daah!!!! Kweli kabisa... Maana jana wamenipiga mpunga wangu kweupeeeee mchana yani..... Sema kubet hamna JUMADILI AU JUMAPILI YA MILLION 60[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kubet ubeti mwenyewe ukiliwa unaanza kulilia serikali?

"Invest what you're willing to lose"
 
Daah!!!! Kweli kabisa... Maana jana wamenipiga mpunga wangu kweupeeeee mchana yani..... Sema kubet hamna JUMADILI AU JUMAPILI YA MILLION 60[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka pekeangu hapa dah!!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kubet ubeti mwenyewe ukiliwa unaanza kulilia serikali?

"Invest what you're willing to lose"
Hahaha!!!! Kumbe hamna bora bola nichunwe na dem nayempenda aiseee
 
JUMADILI HII, nikiona neno hili najua ni matapeli tu!!. Haiwezekan kudanganya watu wazima
 
JUMADILI HII, nikiona neno hili najua ni matapeli tu!!. Haiwezekan kudanganya watu wazima
Yaani wamenikamata... UKISIKIA PUUUH!! Ujue imekukosa..... Alielenga hana shabaa amefanya makosa..... LAKINI JUMA PILI HII NI ZAMU YANGU KILA FWEDHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…