JUMA KIDEVU
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 148
- 308
H
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ki formula gani...???Hello Wadau,
kwa waliocheza na ambao wanacheza TATU MZUKA,
je kuna formula yoyote kwenye kupata zile namba 3 za bahati?,
nimejaribu kuangalia matokeo na nimeona kama kuna kiformula flan.
Hello Wadau,
kwa waliocheza na ambao wanacheza TATU MZUKA,
je kuna formula yoyote kwenye kupata zile namba 3 za bahati?,
nimejaribu kuangalia matokeo na nimeona kama kuna kiformula flan.
Hakuna probability pale wala nin,,,, n bahati tuu,,, mwanzo mwishoProbability
Bahati hailazimishwi na wala usiikazie sana Misuli.
ww unachezaga?Ki formula gani...???
probability ipo, odds ya kupatia ni 1/999.... ila nina iman kuna namba haziwah kushinda kabisa tangu mchezo uanze,Hakuna probability pale wala nin,,,, n bahati tuu,,, mwanzo mwisho
Yesww unachezaga?