apa napata kauli tofaut tofaut kuhusu Computer science Udsm...sasa naomba utatuz wenu wana Jf 1. 1st yr pale wanakua na field?
2. Mtu anaesoma hii course atatakiwa pia asome mathematcs,physics au statistics? Na ka ndio je kuna ulazima wa kusoma ayo masomo?
mkuu CS accedentally nini mbona masomo core unayaulizia hivooo..
field sina hakika lakini kuna hii Bachelor of Science in Computer Science na Bachelor of Science with Computer Science kama umechaguliwa
Bachelor of Science with Computer Science lazima usome na moja wapo kat ya mathematcs,physics au statistics,
kama una ugonjwa wa maths hiyo course haikufai
nimepga PGM mkuu usiogope!
Lakin TCU hawajafanya hak yan Ifm PCB wamechaguliwa BScs kibao sa na iyo maths