jamani sio siri tatzo la chakula mashuleni limekua tishio kubwa sana hasa mikoa ya nyanda za juu kusini (iringa, mbeya na sumbawanga) wanafunz wa a' level wanasumbuka sana..... Serikali mpo wapiiii???? Au hamulioni hiliiiiiiiiiii!!!!!?!?!!!?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.