Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) ambaye pia Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi tarehe 25 Februari, 2025 amekutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Majimbo ya Mkoa wa Magharibi ili kuhamasisha Wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura
Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewataka viongozi wa CCM Mkoa wa Magharibi kuhamasisha Wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura linaloendelea chini ya usimamizi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)
Aidha, pamoja na mambo mengine, Mbunge Tauhida Gallos Nyimbo amekabidhi vifaa vya ofisini kwaajili ya kutendea kazi kwa viongozi ili kuongeza ufanisi katika shughuli zao za kila siku za kutimiza majukumu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Pia soma > Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025