Tausi Likokola sio jina geni kwa wa-Tanzania wengi. Mwanamitindo huyu ameshafanya kazi na designers wakubwa kama GUCCI, Escada, Tommy Hilfiger, Christian Dior na Issey Miyake. Lakini Tausi hajaishia kwenye mitindo peke yake bali anafanya kazi kubwa kuisadia jamii aliyotoka. Je Tausi Likokola katokea wapi? Nini kilifanya aitwe Goodwill Ambassador wa Tanzania? Nini kilimuingiza kwenye mitindo? Je ana ushauri gani kwa wasichana wanaotaka kuwa wanamitindo kama yeye? Tembelea tovuti zake: www.TausiDreams.com, www.TausiAidsFund.org
mwanamitindo wa kitanzania au wa kizungu, tuache kusifia watu wakiacha mila na tamaduni zao na kuendeleza na kutukuza mila za kigeni, sisi watanzania vipi? huyo amekuwa mtumwa katika tamaduni za nje