Tausi Mdegela: Watoto wakiniona wanatafuta vitenesi tucheze

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
516
Reaction score
905
Mwigizaji wa bongo muvi kwa upande wa komedi Tausi Mdegela amesema, mara nyingi akiwa sehem za matembezi, watoto wengi wanamkimbilia na wengine kutafuta vitenesi ili wacheze wakidhani supastaa huyo ni mtoto mwenzao.

Watoto wengine wanakuwa wanawasumbua wazazi wao(mama zao) wawanunulie nguo kama alizovaa Tausi. Tausi amesema anapenda sana watoto na muda si mrefu anategemea kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu japokuwa hakusema ni lini. Ameongezea pia mchumba ambae anatarajia kufunga nae ndoa ana kimo kirefu mwenye kuweza kuzima taa wanapokuwa chumbani. Muigizaji Tausi ameongea haya wakati anahojiwa na Dina Marios katika kipindi cha uhondo E fm radio.

Pichani ni muigizaji wa komedi anaejulikana kwa jina la Tausi Mdegela





 
Mi nimependa kibuti chake tu[emoji1] [emoji1]
 
Ila ana kitako hatari.
Kanitumia picha zake wasapu.
We jamaa namba zako nimezishtukia. Zile zinaishia na 42. Ngoja nikutafute nikuonyeshe mambo. Mtafute yule bikira nani sijui akutumie picha za hivyo.
 
asee PHD ndo anakula huu mzigo? jamaa anafaudu mana mtoto kifuani chuchu bado zinasoma 12pm
Hemed amedata na kiuno cha huyu mtoto...yaani ni zaidi ya panga boi

Akianza kukata kiuno saa 7 ni mpaka saa 11 ndio akitulize mzeiyaa!!!
 
Mngejua walivyo watamu hao mtaawaacha hao warefu, Kahongwa mpaka gari huyo likamshinda kuendesha sabab ya kimo.
 
Mngejua walivyo watamu hao mtaawaacha hao warefu, Kahongwa mpaka gari huyo likamshinda kuendesha sabab ya kimo.
asee kuna madem wengine wanajiona wapo poa wanaishia kuhongwa chipsi kuku, bado analo gari? nataka kuomba kibarua cha kumuendesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…