Tawala za kifalme

Tawala za kifalme

nalb

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
437
Reaction score
608
Habari wana jamvi,

Inafahamika kuwa hapa duniani kuna nchi ambazo zinatawaliwa kifalme, mtawala akiwa mfalme au malkia. Watawala hao hutoka katika ukoo mmoja tu na ulithishana ukuu huo.

Naomba kupata ufafanuzi wa maswali haya;
Je mfalme wa kwanza kabisa katika nchi hiyo alipatikanaje?

Kama ni kwa kuchaguliwa, je alipigiwa kura kama tunavyopiga katika uchaguzi wa kupata rais?
kwa nini hakuna ukomo wa utawala wao? ( ukoo huo wa ufalme)

Nakaribisha michango yenu.
 
wewe umeoa au bado? na kama ni mwanamke umeolewa? nijibu twende sawa
 
Haya mambo chanzo ni.malkia wa uingereza kutokana nchi nyingi zilikuwa na ma chief au rulers so yy aliwarithisha haya ma ufalme wale waliokuwa wana nguvu au walimkataa kwa vita mpaka wakamkimbiza
 
Back
Top Bottom