Tawi gani la NMB leo linafanya kazi

Tawi gani la NMB leo linafanya kazi

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Naomba msaada wenu kama kuna mdau humu anisadie hata pm

USSR
 
Duh! Mi mwenyewe nimeshindwa kupata huduma kwenye kampuni ya simu leo. Maofisi mengi yamefungwa. Nmb hao ndio kabisa hawafanyi kazi leo. Crdb ndio kabisa haifanyi kazi ukichukulia hawa wenye sikukuu wana banking ndani yake. Taabu tupu inabidi tuvumilie siku ya leo ipite
 
1. NMB mkononi inafanya kazi.
2. Mawakala wako open.
3. Mlimani City inapiga mzigo.
4. Za mjini zipo sema majina mtihani.

Jiandae kwa foreni. Kama hauna haraka subiri Monday.
 
Back
Top Bottom