Tawi jipya la Aston Villa- Buza kwa Lulenge

Tawi jipya la Aston Villa- Buza kwa Lulenge

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Wakereketwa wa chama jipya ama timu ya taifa ya Aston Villa wameamua kufungua tawi jipya ya mpira huko BUZA KWA LULENGE.

Lengo likiwa ni kusapoti chama. Aidha, wanachama wa tawi hilo wameomba kama ikiwezekana wapewe VISA baadhi ya wanachama waende kuliwakilisha chama huko mjini England.

Wanasema wako tayari kushangilia hata mazoezini.

Wananchi mnalizungumziaje hili suala.
IMG-20200123-WA0001.jpg
 
Pages za Aston Villa zimechangamka kweli kwa sasa utafikiri imepanda hadi top 4.

Samatta aking'ara hapo hiyo timu itakuwa imeongeza mashabiki diehards million kadhaa.
 
Back
Top Bottom