W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Jan 26, 2020 #21 Nimepata kazi ya ukalimani hapa aston Villa. Nawaomba muendelee kuweka jumbe zenu kwenye page ya Villa. Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata kazi ya ukalimani hapa aston Villa. Nawaomba muendelee kuweka jumbe zenu kwenye page ya Villa. Sent using Jamii Forums mobile app
Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,271 Reaction score 1,828 Jan 26, 2020 #22 Beira Boy said: Sasa kuna mzungu gan anajua maana ya WAJUBA Au hao jamaa alikasusu inawachanganya Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu mimi nipo hapa hapa Tz lkn hilo neno "WAJUBA" kwangu umekua msamiati mpya.. Msaada tafadhali.!
Beira Boy said: Sasa kuna mzungu gan anajua maana ya WAJUBA Au hao jamaa alikasusu inawachanganya Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu mimi nipo hapa hapa Tz lkn hilo neno "WAJUBA" kwangu umekua msamiati mpya.. Msaada tafadhali.!