Tawi La Yanga Lazidi Kupukutika.

yule rais wao mwigulu nchemba yuko wapi maana alikuwa badala ya kuisaidia singida anagawa wachezaji yanga
 
Yaani wewe Sembo kichwa chako ni tope tupu kama mlivyo wa matopeni.
 
Golikipa Peter Manyika Jr amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Biashara (KCB) ya nchin Kenya.

Manyika amejiunga na Biashara kama mchezaji huru baada ya kuondoka Singida United kutokana na kushindwa kulipwa madai yake ya ada ya usajili na mishahara.
 
Tunashukuru Tawi letu lingine (Simba) linastawi
 
Tunashukuru Tawi letu lingine (Simba) linastawi
Beki Kisiki Jamal Mwambeleko, aliyekua akiitumikia Singida United, nae kajiunga KCB ya nchini Kenya.

Tutaendelea kujuzana yanayojiri katika hili Tawi la Ndala
 
Hii timu walizidisha mapenzi walipomnunua Faisal na kuwapa Ndala FC waache wafu wazikane wenyewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…