[emoji23] [emoji23] [emoji23]na wewe umechekesha??
Huu ndio uuandishi wa mhasibu????Nilienda kweny interview ya assistant accountant....mamb yalikuw hivi;
Mr. Maswal; unaonekana umesomea kodi na forodha sasa inakuaje unataka kuwa accountant
Me; huez kujua kias cha kodi bila kujua accounts..huo ni msingi wa kodi
Mr. Maswali; sasa kwanin usiombe kazi mtaan kwenu
Me; mtaani kwetu...!! kivip mr...??
Mr. Maswal; bhac kapite kila nyumba mtaan kwenu ukaelekeze kukata kodi za nyumba hapa tunataka wahasibu.....sawa