Malaika_financials
Member
- Apr 27, 2021
- 38
- 32
Habari zenu wakuu,
Mimi ni binti ambaye nilikua nimeajiriwa kama mhasibu kwa takribani miaka mitano. Nimejifunza mengi katika nafasi hiyo ya uhasibu kwa sababu kampuni niliyokua naifanyia kazi ilikua ni consultation company hivyo tulikua tunafanya kazi za kampuni tofauti tofauti hivyo nikapata uzoefu wa kutosha.
Nimeamua kuanzisha kitu changu mwenyewe.Nafanya both tax and financial consultation services.Kama utakua na kampuni yako au biashara yako yeyote na ungependa kuwa na mtu wa kusimamia malipo yako ya kodi ikiwemo pia E-filing, kukushauri,kukufanyia mahesabu yako ya mwaka ( financial report)pamoja na ukaguzi(auditing ), kufuatilia statutory payments kama NSSF ,WCF na mengineyo.Tafadhali karibu tukuhudumie kwa bei nzuri.
Tafadhali naomba sana support yenu ,huku mtaani siyo mchezo ukiamua kuwa self employed.Asanteni