Tax and financial consultation services

Habari zenu wapendwa,

Je unataka kulipa kodi ya biashara na hujui pakuanzia?

Karibu sana kwa ajili ya ushauri na kuelekezwa namna ya kulipa kodi, Kujua kodi yako unayodaiwa TRA na jinsi ya kuilipa.

Kufanyiwa mahesabu yako ya mwaka,Ukaguzi wa mahesabu, Efiling,Provisional tax,Paye and sdl, Withholding Tax and Stamp Duty, na mengineyo.

NB, Mwisho wa kuandaa mahesabu ya mwaka 2020 ni tarehe 30/06/2021 bila penalty.

Bado kuna muda.Karibuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…