W wakimataifa. JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 1,625 Reaction score 558 Aug 16, 2019 #1 Sioni sababu yoyote kuwasakama tax fosi kijiudhuru Kuliko watu wanao kuwa wanang'ang'ania madaraka
BDN Senior Member Joined Jul 10, 2015 Posts 191 Reaction score 150 Aug 16, 2019 #2 Kumbe huku nako kuna mgogoro wa chini chini
ngajapo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2012 Posts 1,782 Reaction score 3,525 Aug 16, 2019 #3 Hawa ndo walikuwa wanatumika sana kweye ndumba na kuhongahonga wachezaji ili mradi tu timu ishinde kwa namna yoyote ile..
Hawa ndo walikuwa wanatumika sana kweye ndumba na kuhongahonga wachezaji ili mradi tu timu ishinde kwa namna yoyote ile..
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Aug 16, 2019 #4 ngajapo said: Hawa ndo walikuwa wanatumika sana kweye ndumba na kuhongahonga wachezaji ili mradi tu timu ishinde kwa namna yoyote ile.. Click to expand... Kama wale friends of Mikia sio
ngajapo said: Hawa ndo walikuwa wanatumika sana kweye ndumba na kuhongahonga wachezaji ili mradi tu timu ishinde kwa namna yoyote ile.. Click to expand... Kama wale friends of Mikia sio
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 13,481 Reaction score 28,116 Aug 16, 2019 #5 Hawana lolote hao,waganga njaa tu
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,698 Aug 16, 2019 #6 timu ilikuwa inahujumiwa adi na Lipuli na Mbao wakati wao wapo busy kukusanya gate 'collections' na kuuchapa usingizi, nyambaf zao wakafie mbele ya safari...… ona barua yenyewe na hiyo meza ya fomaika vilivyo chakaa
timu ilikuwa inahujumiwa adi na Lipuli na Mbao wakati wao wapo busy kukusanya gate 'collections' na kuuchapa usingizi, nyambaf zao wakafie mbele ya safari...… ona barua yenyewe na hiyo meza ya fomaika vilivyo chakaa