Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
A tax holiday is a temporary reduction or elimination of a tax. Governments usually create tax holidays as incentives for business investment. The taxes that are most commonly reduced by national and local governments are sales taxes. In developing countries, governments sometimes reduce or eliminate corporate taxes for the purpose of attracting Foreign Direct Investment or stimulating growth in selected industries.
Tax holiday is given in respect of particular activities, and sometimes also only in particular areas with a view to develop that area of business.
Wadau natanguliza heshima,
Ninaomba mtu mwenye ufafanuzi wa hii kitu inayoitwa Tax Holiday ni kitu gani hasa? Ina manufaa na Taifa letu? Imelenga nini hasa? Mimi sielewi kabsaaa!
Naomba msaada wa kuelimishwa!
Wikipedia is your friend
acha hizo mzee kwa hiyo 'tax holiday'ni nzuri au unatuletea madesa uliyosoma
Wikipedia is your friend
Nashukuru, ila are we practising this law of Tax Holiday accordingly? Why foreign investors and not even Tanzanians. Nasema hivi kwa sababu naona hawa wanaoinvest kwa mwavuli huu, ikitimia miaka mitano wanauza ama wanabadili jina, wanaenda tena tax holiday ya miaka 5. Je hii ni sawa? hakuna sheria inayowamabana kuhusu hii issue ya tax. Je, hawa mabwana ushuru wetu hawajui haya ama wamefumba macho kama hawaoni. Mfano kuna hotel moja hapo dar Royal Palm sasa sijui inaitwa nini, ina maana kila baada ya miaka 5 ni lazima iuzwe? Wale wachimba madini kule Mererani wamebadilisha majina mara ngapi. Kwa nini watanzania tusipewe angalao tu-tax holiday twa miaka 2 nasi tuone kama tutaweza kufanya biashara na baada ya hapo tuanze kulipa kodi?
Kwa nini watanzania tusipewe angalao tu-tax holiday twa miaka 2 nasi tuone kama tutaweza kufanya biashara na baada ya hapo tuanze kulipa kodi?
Hiyo ya kubadilisha jina naamini mabadiliko yamefanyika. Hukwepi tena kodi kirahisi ukibadili jina. Wananchi tukisaidiwa na wana habari tukiendelea kupiga kelele, bunge litafanya kwa kuzingatia matakwa yetu wananchi.
Kuna topic humu jamvini yenye habari toka gazetini inayofanana na issue ya Tax Holiday. Itafute; inazungumzia tax avoidance and tax evasion.
Wikipedia inafafanua hapa, jisomee uweze kuelewa ni kwa vipi hili tatizo limekuwepo na nini hufanyika kulidhibiti.
Eeka Mangi,
Umelinganisha maeneo ambayo Tanzania imeyapa Tax Holiday tofauti na wafanyavyo USA?
Labda USA sio ya kujilinganisha nayo. Ni nchi ipi basi tunayoweza kusema Tanzania tumeiga kwao?
Tax holiday