Buggy
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 236
- 60
Wadau naombeni kujuzwa; nina-TIN number lakini nimesahau documents zangu za TIN mkoa mwingine kiasi kwamba nashindwa kupata namba yangu ya TIN. Je, ninawezaje kuipata namba yangu ya TIN? Nipo Dar, Je, naweza kwenda ofisi za TRA na wakanipatia namba yangu ya TIN? Thankx