Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
SlidingRoof, transparence za kihivi, ziko kwa wenzetu wazungu, sisi hata wife kujua total income yako from all your sources ni issue. Sana sana utamuonyesha salary slip tuu!. Sasa ndio itakuwa income ya Mkulu?!
Gross income ya Mheshimiwa ilikuwa ni $1,728,096, ambazo kapata kutokana na mapato ya kuuza vitabu vyake.
Idara ya mapato au watu wa kodi wamekata asilimia 25 hivyo kodi aliyochukua Taxman inafika $453,770.
Mheshimiwa kapata tax break toka kwa hao wakusanya kodi kwa sababu ameamua kudonate asilimia 7 ya kipato chake kwenda kwenze charities mbali mbali.
SlidingRoof, transparence za kihivi, ziko kwa wenzetu wazungu, sisi hata wife kujua total income yako from all your sources ni issue. Sana sana utamuonyesha salary slip tuu!. Sasa ndio itakuwa income ya Mkulu?!
Mshahara wa rais wetu ni Top (national) Secret.
Rais wetu hapangiwi mshahara bana, anajipakulia tu akijisikia...he he he!.Mimi nimeuliza weeeeeeee hadi nimenyanyua mikono sasa.