Habari wana jamii, poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Mim kijana wenu nimerudi tena baada ya matatizo ya kiafya na mshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa afya nyingine
Kijana wenu nimekuja kwenu natafuta gari ya kwajili ya kufanya biashara ya tax mtandaoni.
Natumain ombi langu nitapatikana ufumbzi na kwa mawasiliano zaidi
Katalog von Mohamed Habibu auf WhatsApp ansehen (Whatsapp me)
Email
mohamedhabibu075@gmail.com
Call number 0719013003