teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wana jf msaada wenu tafadhali nina mzazi wangu aliteleza akaanguka bahati baya jiwe lilimchana vibaya sehemu ya kichwani akapelekwa hosp akatibiwa na kuondoka alishonwa nyuzi kadhaa baada ya siku hali ikabadilika akawa hawezi kula wala kuongea leosiku ya pili hadi hapo sijui hili tatizo la kutoachama sababu kubwa itakuwa nini, hapa nipo hosp lkn kwa vile leo ni siku ya sikukuu madaktari wakubwa hawapo waliopo ni manesi tu.