Tayari Simba wameshaanza kupata Vikombe vya mkutano mkuu ujao mwakani

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Klabu yeti pendwa imepata mafanikio makubwa ukiacha Yale ya WhatsApp channel MCHEZAJI wetu Inonga amefika nusu fainali afcon. Pia fifa wametutaja Kwenye klabu 12 ambazo zitawania club world cup ambapo Sisi makolo wizard ni WA 7 Africa wakati zinatakiwa timu nne tu. Hayo ni mafanikio yetu
 
Na wewe mhamiaji haramu tutakurudisha kwenu
 
Sawa wewe weka mafanikio ya Yanga msimu huu.
 
Aanze kurudishwa mkimbizi mkandwaji, Kisha kanjibahi mdhamini wenu, na Mimi nitarudi kwetu Al Ghazal Sudan
kiukweli wenye nchi hii ni kabila moja tu la wagogo ambao wanaongoza duniani kwa uwezo wa kutembea kwa miguu umbali mrefu zaidi bila kula kitu chochote zaidi ya ubuyu ndo maana Supika mstaafu Nguguyao akawaka kwa uchungu na kuachia ofisi akipinga kuuzwa nchi yake kupitia mikopo iliyopitiliza,

kabila zote 119 zilizobaki ni kutoka nchi jirani! hivyo jombaa asikutishe kabla ya kuondoka wewe ataanza yeye kupimwa mkojo kisha watasema wana mashaka na uraia wake! watamtimua! bongo nongwa sana!

Simba inayo makombe mengi sana ya kujivunia
Kombe la kufa kiume kwasasa limechacha na kujaa vumbi !
Kombe la kujaza magalasa wanaohangaika kukurukakara uwanjani bila goli kina Saidoo
Kombe la mashabiki kushangilia timu kwa nguvu huku wanajua khamsa ya pili inakuja na Yanga ni bingwa tayari
Kombe lenye thamani zaidi ni 'mbao ya jamii' kutoka Tanga kunani

Kombe la Simba lifuatalo ni la kuwa mkimbizaji mzuri wa kinara wa ligi katika zile mbio za ubingwa wa NBC PREMIER League Tanzania Bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…