Tayarishiwa andiko lako la mradi leo, soma kama si wewe ni mwingine

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Kwa wale tu wenye uhitaji wa kweli wa kuandikiwa ANDIKO lolote la MRADI wa aina yoyote, FURSA hiyo ipo kwetu KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED , Tutakutayarishia kwa kadri ya uhalisi wa Mradi husika; Uwe ni wa kubuniwa au ule unao endelea; uwe wa kupatia mkopo au Ruzuku; kupanua mradi au kuendeleza mradi; kuvutia uwekezaji au ubia nk

MIRADI ya; binafsi, mashirika, makampuni, taasisi za serikali, makanisa na taasisi zake nk

Wasiliana nasi, tujadili wazo lako na tuone uwezekano wa kutekeleza. Usiogoe kwa habari za gharama, zinajadilika!!

Visit: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
email: kimiconsultancy@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…