vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Huyu binti ni balaa
Ana mwezi mmoja yupo anaizunguka ulaya anakusanya paund
Kwa miaka ya karibuni sijapata kuona msanii wa kike mwenye influence km huyu
Anapendwa sana kwa nchi zilizoendelea ila naona kwa waafrica hajapenya labda south Africa tu ndio anaheshimika
Uwanja wa bernabu wa real madrid ulitapika
Jana kwa malkia Wembley arena watu wamekanyagana
Je sisi wabantu hatujui mziki mzuri?
Kwasababu ukisikiliza redio station wabantu wanajipendea zao kina Rihanna tu
Hii tour yake lazima impe utajiri
Congratulations to you young lady ina inspire kuona binti mdogo ana break records