Tazama jinsi mtoto wa Nancy Sumari alivyokuwa mkubwa na alivyopendeza kwenye hii picha

Yaaani kwa umri alionao mzazi wake ameshaanza kumxpose na mitindo ya fashon ....mmmmh!
Future yake mzazi ameshaitengeneza...
Ila mtoto hajapewa nafas ya kuonyesha anapendelea nn kufanya....!!!
 
Yaan kwa hao wanaojiitaga warembo sijui kina Wema,jokate,wolper ,nancy sumar ni kiboko yaooo mrembo hatare sema ukwelii
 
Baba wa hako katoto ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…