Tazama jinsi Mtume Paulo anavyoendelea kuitikisa dunia!

Zambi gani mbona Paulo aliota Kwann mm nisiote halaf niwe mtume
Roho Mtakatifu ndiye anayegawa au anayempa mtu huduma ya utume, uchungaji au uinjilisti, sio kwa kuota.
1 Wakorintho 12:4-11
“Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule. … Lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo.”
 
Namm atanipa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…