Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Wataenda kuiprintHongera kwa kutuprove long. Sasa mbona nyumba yenyewe ya kuchora?
Nyumba haijachorwa hapo nimeiscreen shot hiyo ni video inaonesha huo mjenga na kipande cha mbele inaeonesha diamond anatoka ndaniHongera kwa kutuprove long. Sasa mbona nyumba yenyewe ya kuchora?
Hiy video bro nimeiscreen shot kipande kidg tuuHii ni kama map tu
Kwa hizo rangi, mi nafikiri hilo ni jengo la CCM.
Prove long.... Hongera mkuu kwa kingereza kilichotukukaKuna watu wanadanganyana wanasema mziki wa bongo haulipi ila kwa wasanii wenye akili na malengo kama bwana platnumz hapo ameamua kutuprove long View attachment 1426473
Sent using Jamii Forums mobile app
Thinking out loud, labda mleta mada kachanganya picha ya jengo la Diamond na ofisi za chama tawala.
Kama harmonize ananyumba 3 inakuaje diamond ashindwe kujengaAmepanga acha kutuzingua.yes,mziki unalipa lakni hawa wasanii kujenga sijui wanaonaje
We unafikiri diamond anayo hiyo ya kujenga mjengo kama huo?Kwa makadilio ya watu wa majengo wanasema inaweza kuanzia 1.5 B mpk 2 sabb hiyo nyumba amejenga mbezi beach
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu kaziniAmepanga acha kutuzingua.yes,mziki unalipa lakni hawa wasanii kujenga sijui wanaonaje
Yes naweza nikasema anayo kwa kuangalia tuu mauzo yake ya music namaanisha online platform, shows alizofanya , matangazo kweny makampuni makubwa . Kama anawalipa TRA 40M kwa mwezi kwann asiwe na billion