Tazama maajabu haya 6 aliyonayo binadamu

Tazama maajabu haya 6 aliyonayo binadamu

all about

Member
Joined
May 28, 2022
Posts
69
Reaction score
103
1. Hakuna mtu ambaye yuko bize muda wote. Inategemea tu uko nafasi gani kwenye orodha ya vipaumbele vyako.

2. Amini usiamini, unaweza kuwa na chochote unachotaka, uwezo wako hauna kikomo.

3. Kila mtu anajaribu kupata mtu sahihi lakini hakuna anayejitahidi kuwa mtu sahihi.

4. Pesa ni namba na namba hazina mwisho. Ikiwa inahitaji pesa ili kuwa na furaha, basi utafutaji wako wa furaha hautakua na mwisho kamwe utaendelea kuitafuta furaha kadri unavyoitafuta pesa.

5. Maneno ya uvumi hayaelezei tabia yako, alama zako za masomo na hali yako ya kifedha haielezei akili yako.

Tafadhali, usijifananishe na wengine: Hakuna mtu anayeweza kucheza nafasi yako vizuri kuliko wewe mwenyewe unavyoicheza.
 
Back
Top Bottom