Tazama maajabu ya wavuta sigara

Unaweza Kushituka Au Kucheka Kidogo Ila Kiukweli Hii Ndo Hali Halisi Ya Watu Hawa
Kwa mfano, we umekufa na mapafu yako mazima na mvuta sigara kafa na mapafu yake meusi na yana matobo.... utakuwa na kazi nayo gani hayo mapafu yako yasiyotoboka..?
 
Kwa mfano, we umekufa na mapafu yako mazima na mvuta sigara kafa na mapafu yake meusi na yana matobo.... utakuwa na kazi nayo gani hayo mapafu yako yasiyotoboka..?
Kinga ni bora kuliko tiba mkuu,
 
Sigara ni rafiki mzur sana bt madhara yake ni makubwa mno!! Namshukuru Mungu nilisha itema kitambo sana!
 
Wanatengeneza za nini kwa mfano?? Kula kitu chenyewe "ugoro" na "gozo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…