Tazama maisha ya Mbosso...Kutoka mtaani, YaMoto mpaka WCB Wasafi

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689

Hii ni historia ya maisha ya Mbosso kimuziki.

Unaweza tazama video fupi hapo juu....Mengi yamejaribu kuwasilishwa kwa video ili uweze kumfahamu Mbosso aka Mbosso khan aka Marombosso aka Mshedede aka African voice.
 
  • Thanks
Reactions: m2u

Imenifundisha kitu kimoja kwamba katika watu kumi uliowatendea wema bila ya wewe kujua kuna mmoja hatokusahau katika maisha yake, ukizama atakuibua japo wengine wanakucheka na kukudharau
 
kuna connection flani hapa kumbe umeiona...mbosso ndio alimtambulisha vizuri rayvanny kwa diamond mpka akatolewa na wcb, bbaadae rayvanny ndio akaja kutengeneza connection ya mbosso kuchukuliwa wcb.. wema hauozi
 
E bhana YouTube kuna link Mbosso live huko Mwembe Yanga naona hii nyomi si kitoto
 
kuna connection flani hapa kumbe umeiona...mbosso ndio alimtambulisha vizuri rayvanny kwa diamond mpka akatolewa na wcb, bbaadae rayvanny ndio akaja kutengeneza connection ya mbosso kuchukuliwa wcb.. wema hauozi
Mungu amuongoze katika hili jipya asahau yaliyopita
 
Kwa show walizokuwa wakifanya na Ya moto band inakuwaje kumbe hakuwahi kuwekeza hata kidogo?

Zile nyumba zilienda wapi? Yale magari je?
Kweli nimeamini.maisha ya wasanii wa bongo ni drama.
 
Hii documentary imejaa visa vya uongo ili kupata huruma. Kuna interview yake moja alielezea kuwa amezaliwa na kukulia Kigamboni na alikuwa anacheza sana mpira.

Kitu nachofahamu mimi ni kweli alienda Kibiti lakini alienda kulima mananasi.
 
Back
Top Bottom