mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Documentary Kama hizo ni muhimu sana kwa wasanii,hes humbled you know.
Hii ni historia ya maisha ya Mbosso kimuziki.
Unaweza tazama video fupi hapo juu....Mengi yamejaribu kuwasilishwa kwa video ili uweze kumfahamu Mbosso aka Mbosso khan aka Marombosso aka Mshedede aka African voice.
Imenifundisha kitu kimoja kwamba katika watu kumi uliowatendea wema bila ya wewe kujua kuna mmoja hatokusahau katika maisha yake, ukizama atakuibua japo wengine wanakucheka na kukudharau

yap kikubwa zaidiDocumentary Kama hizo ni muhimu sana kwa wasanii,hes humbled you know.
Imenifundisha kitu kimoja kwamba katika watu kumi uliowatendea wema bila ya wewe kujua kuna mmoja hatokusahau katika maisha yake, ukizama atakuibua japo wengine wanakucheka na kukudharau
Mungu amuongoze katika hili jipya asahau yaliyopitakuna connection flani hapa kumbe umeiona...mbosso ndio alimtambulisha vizuri rayvanny kwa diamond mpka akatolewa na wcb, bbaadae rayvanny ndio akaja kutengeneza connection ya mbosso kuchukuliwa wcb.. wema hauozi
Uzuri ana kipaji kikubwa naamini atafika mbali tu.Mungu amuongoze katika hili jipya asahau yaliyopita
unajua unachokiongea Wew... zwazwarich mavoko toka ajiunge wasafi amepotea kabisa
tusi ya nini, si umjibu kwa staha!unajua unachokiongea Wew... zwazwa
Hii documentary imejaa visa vya uongo ili kupata huruma. Kuna interview yake moja alielezea kuwa amezaliwa na kukulia Kigamboni na alikuwa anacheza sana mpira.