Tazama miujiza ya Yesu

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
Ntawezaje kupata kazi yenye kudumisha utu wangu, kuwatunza wazazi wangu, na kuwasaidia ndg zangu wakati sikubahati hata kumaliza elimu yangu ya sekondari?

Sina kazi natafuta kazi tafadhari nisaidie leo nawe kesho waweza kusaidiwa, wewe, mwanao au nduguyo.

Kama kuna mtu anaweza kuniwezesha tuwasiliane kupitia simu namba 0685234854 tuma sms.
 
pole, subir muujiza. Watu wanasoma hata qt wewe unasubir muujiza! Kwann usitafute hata kaz ya uhouseboy? Hapo ndipo uwezo wako unafika.
 
Kazi za watu ambao hawaenda shule ni kama ifuatavyo:
Udalali
Ukuwadi,
Kupiga picha
KUbeba mizigo
Kuzibua vyoo
Kufagia barabara
 

bwana yesu alisema hata waacha kamwe...sasa kwa kuwa umetoa kichwa kinasema tazama miugiza ya yesu. Nazani ukimwomba kwa kweli atakujibu.
 
Muombe mungu utafanikiwa na hakuna miujiza ya yesu wala nini
Huyo Yesu mwenyewe alimuomba mungu kwenye ibada zake
 
Bado hujachelewa,kubwa ni kujituma mara upatapo unachokiomba.
 
fanya kazi ngumu, pata hela halafu kasome utafanikiwa . Otherwise endelea kuomba tu usubiri miujiza!!!!!!!!!!!!!!
 
muujiza umepata mkuu.Tuwasiliane nimekutumia msg kwenye number yako.Mungu akubariki sana.Na mambo yatakuwa safi pamoja na jitihada zako.sasa utakapo pata msaada husimwangushe yesu.UBARIKIWE SANA

hakika! Imani yangu kubwa ni kufanya vyema, ahsante sana.
 
pole, subir muujiza. Watu wanasoma hata qt wewe unasubir muujiza! Kwann usitafute hata kaz ya uhouseboy? Hapo ndipo uwezo wako unafika.

hii ya qt nimeikubali,let him start with that and then slowly he will excel.....u houseboy pia ni kazi akiwa determined itamsomesha na hatimaye kufikia malengo yake though its tough
 
Nina wasi wasi mhusika hafanikiwa kutokana na kuchanganya mambo
 
mh, mie naangalia tu. Mungu akutangulie:eek2::eek2::eek2::eek2:
 
cjaelewa kabisa heading nyngine ulichoandika kingine nn shida ndugu au waitaji maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…