TAZAMA Mwenyewe Zari The Boss Lady Ilivyokuwa Shangwe katika uzinduzi wa Mall | Dar Es Salaam

*Juventus* lost
*Monaco* lost
*Dortmund* lost
*Chelsea* lost
*Arsenal* lost
*Man U* draw

Hapo ndio utaelewa kwamba *kubet* ni mchezo wa kubahatisha
we acha tu mkuu mhindi hana possible..chelsea kufungwa na vibonde,juve kupigwa home ni ajabu
 
we acha tu mkuu mhindi hana possible..chelsea kufungwa na vibonde,juve kupigwa home ni ajabu
Unatamani ata ungewaua wote kwa buku upate hata ka brevis kako ka kupigia misele mjini. Kuna muhuni alicheza na btts second half no kwa jero akaumizwa na kenge mmoja 2.6m ikayeya.
 
Unatamani ata ungewaua wote kwa buku upate hata ka brevis kako ka kupigia misele mjini. Kuna muhuni alicheza na btts second half no kwa jero akaumizwa na kenge mmoja 2.6m ikayeya.
aisee spacio used imeteleza hivi hivi, hiyo timu ilaaniwe
 
hawa wa nitarejea akutana na wachungaji wapiga dili kwa kutumia jina la Mungu, wamuabisha na kumdhalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…