Tazama namna gavana wa Nairobi anavyohaha kuongea kizungu

Mbona amepiga vizuri tu, amezidi hata baadhi ya Phd holders!
 
Kiko sawa bwana!! Mkulu wetu alijidai kuongoza kikao cha eac mbona aliloa mwili mzina?
 
Mwenye kuziona kasoro za English ya Sonko embu aziweke wazi ili na sie tulio shallow tujue wajameni..
 
Kwani huyo gavana wa nairobery ni muingereza??
Ebo mbona mii siwaelewi!!!!????
 
nimeona mistake moja tu ,mbona mzee wa yumani fesi ni mbovu kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…