Tazama picha 22 zikionyesha mwili wa Albert Mangwea ukisubiriwa kupokelewa hivi sasa

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801


JUN042013





Hivi ndivyo jinsi Albert Mangwair alivyopokelewa kwenye uwanja wa Dar-Es-Salaam International Airport.
T.I.D ni mmoja wa wasanii aliyebeba jeneza la Albert Mangwair pale Dar-Es-Salaam International Airport.












































 
Baada ya kusuasua sana hatimaye mchana wa leo mwili wa mangwair umewasili jijin
Dar es salaam na wadau kibao wamejitokeza kupokea mwili wa marehem




RIP Ngwair........,
 
R.I.p Ngwea.
Bwana alitoa na Bwana alitwaa.
Jina la Bwana lihimidiwe.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Nipo vingunguti hapa, watu hawaruhusu gari lililobeba maiti kutembea. Organizers hawakujipanga!
 
Dah wapenzi wa ngwea wanasukuma gari lililobeda mwili...tangu gari limetoka geti la airpot saa tisa kasoro mpaka sasa bado halijafika tazara mataa....
 
Dah wapenzi wa ngwea wanasukuma gari lililobeda mwili...tangu gari limetoka geti la airpot saa tisa kasoro mpaka sasa bado halijafika tazara mataa....

yes ............,
watu wamejitokeza kwa wingi sana.....,
 
Rip ngwear we will mis you.
 
Rip ngwear we will mis you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…