Tazama picha za uzinduzi wa filamu ya The Gal bladder ya Baby Madaha ulivyokuwa jana ndani ya Akemi

Tazama picha za uzinduzi wa filamu ya The Gal bladder ya Baby Madaha ulivyokuwa jana ndani ya Akemi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=1]ndani ya Akemi jijini Dar.[/h]



Jana usiku mwigizaji na mwanamuziki Baby Madaha alizindua filamu yake mpya ya The Gal Bladder kwenye ukumbi wa akemi jijin Dar.
Uzinduzi kuu uliosindikizwa na performance ya baby Madaha pamoja na dancers wake ulihuduriwa na wadau mbalimbali wa filamu nchini kama wanayoonekana pichani.
 
Duh haina noma ninja wng kwa updates ss zile kelele zilikua za nn uyu dada amevurugwa
 
Kama mdori hivi... Haya madawa yanawaaribu sana dada zetu.
 
Back
Top Bottom