Tazama: Said Fella ni mshamba Not In a Way - huyu ni mshamba Per sé


Bilashaka hapa unamzungumzia mtu wa kuitwa KAKA MAN
 
Kwa taarifa yako tu mtoa mada,hao unaowaona washamba hawajui kuvaa ndo wanaojua kutafuta pesa.kikubwa anajistiri mwili.hao unaoona wajanja wa kuvaa c ndo masharobaro wa kujibweteka.

Huu mtizamo huuu

Wenye sura mbaya ndo matajiri

Wenye sura mbaya ndo wanaojua kupenda

Wasiojua kuvaa ndio wanajua kutafuta hela

Hivi nyie mnawajua watu wenye hela nyie!!!!
POS
 
hivi ushamba ni uvaaji wa nguo?we mleta mada umekaa kitaarabu au umekulia mombasa
 
Said Fella ndio meneja bora kwa sasa hapa Tanzania..kwa mtazamo wangu
IKiwa msanii anataka mambo yake yaende sawa; hilo halina ubishi hata sifuri... Fella hii shughuli, anaiweza!
 
Huu mtizamo huuu

Wenye sura mbaya ndo matajiri

Wenye sura mbaya ndo wanaojua kupenda

Wasiojua kuvaa ndio wanajua kutafuta hela

Hivi nyie mnawajua watu wenye hela nyie!!!!
POS
bunited hajasema hao wasiojua kuvaa ndio wenye pesa bali ndo wanaojua kutafuta pesa... na kwahili, halina ubishi... Fella anajua kuzitafuta pesa na hakuna ubishi kwamba Fella ndo the most successful manager (not in terms of utajiri) kwenye tasnia ya muziki hapa Tz... and am afraid inaweza kuwa the whole of East Africa!
 

Acha kelele. .voice wonder yuko wapi wkt meneja alikua mwaipaya? Hua yanawatoka kama mavi ya njiani?
 

Ndumba VP we si hua una file LA kila MTU? Fela na babu tale VP? Bibi Cheka nae ana verossa eehhh?
 
hivi ushamba ni uvaaji wa nguo?we mleta mada umekaa kitaarabu au umekulia mombasa

Ulisha rudi toka Russia ? Ulikuaga active MMU mlipishana kidogo tu na mh.aliechangia 15 binam ya Seth harbibder singh
 
Hayo mapete siyapendi kabisa,nikiona mtu kayavaa namshusha thamani,yamekaa kiswahili sana.

Na ni kweli, its a total turn off kwa mimi, mi mwenyewe sipendi kujitwisha mipete akuu
 
Huu mtizamo huuu

Wenye sura mbaya ndo matajiri

Wenye sura mbaya ndo wanaojua kupenda

Wasiojua kuvaa ndio wanajua kutafuta hela

Hivi nyie mnawajua watu wenye hela nyie!!!!
POS
Mkuu soma uelewe uckurupuke.HV ushamba ni nn labda.kila MTU ana ushamba wake hapa duniani.we unaweza ukawa mjanja wa kuvaa kumbe mshamba kwenye mambo mengine.asilimia kubwa ya watu ambao wako busy na utaftaji wa pesa huwa muda wa kuingia madukani kutafta nguo ni mdogo Sana.Hata kama akiingia bc yoyote anachukua bora ajistiri.watu wako busy mkuu na maisha.Pia angalia umbile na umri.kwani kuna cku umemkuta uchi?Au shida yako unataka tu uone kamechisha.Km vp mfate we mjanja umfundishe kuvaa.Acha kuchunguza maisha ya watu.Fanya yako.
 
waambie wakuelewe.Hawajui km alikimbia mke kwa miaka Isiyopungua 12 na kuendelea.jamaa anajua kuzitafuta mno aisee.
 
waambie wakuelewe.Hawajui km alikimbia mke kwa miaka Isiyopungua 12 na kuendelea.jamaa anajua kuzitafuta mno aisee.
Ndo tatizo la wabongo... unakuta mtu kaanza kukufahamu majuzi tu hapa tena sometime kupitia kwenye video; na ikitokea bahati mbaya siku mmegongana bar mkaa meza moja angalau kwa nusu saa, ndo basi tena, atajifanya anakujua kuliko anavyokujua demu wako wa primary!
 
Ha ha haaaa.Haya bwana mkuu.
 

Weka Picha!!
 
Ulisha rudi toka Russia ? Ulikuaga active MMU mlipishana kidogo tu na mh.aliechangia 15 binam ya Seth harbibder singh

mkuu bado nipo huku,lol naona unabadili sana majina,mmu nimepunguza siku hizi nakaa huko kwenye siasa na celebrity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…