Tazama soft touches za Rally Bwalya Magician Left Footer

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Mtaalam kukupa assist haitaji kuwa karibu na goli.Hata akiwa mita 60 anaweza kufusha mpira ukafunga.
Watangazaji mtamaliza majina yote RB..Magician Left footer...Soft touches...maestro...halafu mwenyewe hata haringi

Yanga mtakoma kifo kiko pale pale
 
Simba twendeni Zambia tukaongeze pesa ase, jamaa anajua hadi anaboa
 
Kikosi cha Simba in Ubakaji kwa ligi ya Bongo....haiwezekani mchezaji kama Kahata..Ajibu...Nyoni...Morison nk. waanzie benchi halafu ufikirie eti unapambana na hicho kikosi..hata Azam in swala la muda kukaa kileleni...Yanga alikaa kileleni nusu nzima ya kwanza kipindi cha Zahera.
 
Nakwambia Simba yamoto sana mkuu... KAHATA anakaa benchi.?

AJIBU, MORRISON wanakaa benchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…