Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hao ndio malegend wa huu mchezo kwa miaka 15, lazima wawe midomoni mwa wadauIngekuwa ni Messi au hata Ronaldo angecheza kama Mbape jana, mitandao ingelipuka
Walishabetiwa mafanikio.Messi na Ronaldo ni biashara za watu zile ndo maana kwenye balon do'r hata wachezaji wengine wacheze vipi lakini hawapewi zile ni brand za watu na zinalindwa kwa gharama yoyote ile.